Donn Nimegeuzwa ATM

pole sana mdogo wangu. Ukiona hivyo kimbia!. wezi hao!. mia
 
Kosentreti na shule upate mihela yako.Angalia mwenzio mashizo sahiz anagawa mi euro kwa kuwa alizingatia shule..kasome thread yake kule mmu
we.. unanirudisha shule tena? mbona wanirudisha hatua nyuma mpendwa? umri huu unataka niwe kidato gani sasa?
 
mama kanikataza kuhonga, wala kutumiwa na msichana kama kitega uchumi chake. Jana nili mkwaza sana mama yangu mpenzi gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Kweli mjini pesa, mapenzi......pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…