Donn Nimegeuzwa ATM

JosephElly

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,432
Reaction score
1,035
Ni mrembo wala hilo haliwezifichika,
Nilitupia swaga zikakubalika,
nikaitwa baby moyo ukasuuzika,
Safari ikawadia JF Nikaaga naenda kusaka,

mtoto wiki hapatikani hewani,
moyo ukaanza tapatapa,
ahadi nikatoa kilonga longa kumtumia,

mapenzi yakapamba moto,
nikaitwa baby kila dakika,
kilonga longa nikatuma,
penzi likaanza dorora,

mjini nikarudi, mtoto hewani happatikani,
akipatikana hapokei,
nikakaza moyo sms ya kibuti nikatuma,
kimyaa hakuna majibu nikakausha,

jana mtoto kanitafuta baada ya wiki 3 kukausha,
eti simu alipoteza na namba alisahau,
nikapiga moyo konde nikakausha,
nikitaka tuonane anakuwa mgonjwa

leo kanipigia ''baby ile ishu utanikamilishia lini?''
kengele zikapiga kwa kichwa... Nimekuwa ATM?
Aje kuchukua kisha asepe tena?
manoah charminglady Nivea Arushaone ladyfurahia mimisa Paloma chit-chat
 
Last edited by a moderator:
Njoo utulize munkari Taifa huku...Yanga tunacheza
 
Mtoto wa mjini unaingizwaje town? Jipime ujiridhishe kama vipi mpige down utafute ustaarabu mwingine.

Kama vipi njoo arachuga nikupe wa kizungu ambaye atakuwa anakuita bebi how much dollars you want today? Usijepata brein konkashen na vi-jump way.
 
Tongolotongolo
mapoki na mongo,nkyalitu muto
 
Njoo utulize munkari Taifa huku...Yanga tunacheza
dah hata mimi ni yanga.. ila leo nina mawazo sana... utanipa matokeo tu arif.. mapenzi kizungu zungu
 
Mtoto wa mjini unaingizwaje town? Jipime ujiridhishe kama vipi mpige down utafute ustaarabu mwingine.

Kama vipi njoo arachuga nikupe wa kizungu ambaye atakuwa anakuita bebi how much dollars you want today? Usijepata brein konkashen na vi-jump way.

Hata huyu mtoto ni mmeru... na ni keupeeee... kazuriiiiii... yaani mpaka kanatia mizuka
 
hujambo Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Hata huyu mtoto ni mmeru... na ni keupeeee... kazuriiiiii... yaani mpaka kanatia mizuka

I am talking about WAZUNGU Donn!!!! Can't you see difference between MZUNGU and MMERU?? Come on Donn!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…