SUA ni hatari Masters tu hutagraduate on time hata kama uko hard working utacheleweshwa mno, kupangiwa presentation tu ni kazi hadi wajiskieMasters tu nimeshindwa hapo. Nitaanza 2025 upya SUA au ARU.
UD bwana.
Zipo zinazofanana hasa course za UDSM zilizopo college of EngineeringSasa Mkuu - Course za PhD za UDSM na Ardhi University si ziko tofauti (Specialization)? Unazifananisha vipi?
Ardhi au MUST?SUA ni hatari Masters tu hutagraduate on time hata kama uko hard working utacheleweshwa mno, kupangiwa presentation tu ni kazi hadi wajiskie
Kuna yule Profesa wa vinyesi si yuko hapo!?Kama nilivyosema hapo juu kuhusu dondoo za masomo ya ngazi ya PHD katika chuo cha UDSM.
Nimekuwa nikipata ukakasi wa kwenda kusoma hapo kwa kushauri kwamba bora nikasome Ardhi University kuliko UDSM kwa sababu ya usumbufu.
Sua wanasumbua sanaa, bora UDOM, nina ndugu yangu kasoma Master utadhani anasoma PHD ya miaka mitano, supervisor anamwambia hivi akirekebisha anaenda anabadilsha eti nilikuambia hv, yaan kuna siku ndio nilichoka alimwambia nasafiri nikirudi tutadiscuss, sasa ww umsubiri mtu na kazini umepewa likizo ya masomo sasa si ujinga huu, nawashauri watu ni bora ukaangalia chuo cha kusoma ambacho hakitakupa stressSUA ni hatari Masters tu hutagraduate on time hata kama uko hard working utacheleweshwa mno, kupangiwa presentation tu ni kazi hadi wajiskie
SUA ni hatari Masters tu hutagraduate on time hata kama uko hard working utacheleweshwa mno, kupangiwa presentation tu ni kazi hadi wajiskie
Kusoma SUA kunataka moyo sana na navyosikia na UDSM piaSua wanasumbua sanaa, bora UDOM, nina ndugu yangu kasoma Master utadhani anasoma PHD ya miaka mitano, supervisor anamwambia hivi akirekebisha anaenda anabadilsha eti nilikuambia hv, yaan kuna siku ndio nilichoka alimwambia nasafiri nikirudi tutadiscuss, sasa ww umsubiri mtu na kazini umepewa likizo ya masomo sasa si ujinga huu, nawashauri watu ni bora ukaangalia chuo cha kusoma ambacho hakitakupa stress
Kusoma kwa mateso maana yake nn? Bora usome umalize uendelee na mipango mingine habari za kuchoshana na kukimbizana kuviziana inaumiza akiliMkeka wa graduates wa mwaka huu huo wa SUA soma registration number uone walikuwa registered mwaka gani. Watu wamesoma masters 3 to 4 years, kuna PhD graduates wawili apo walikuwa registered 2017 wamesoma 7 years. Japo elimu ya PhD hata masters pia ni kipimo cha resilience usiogope kwenda SUA.
View attachment 3113998