Dondoo za Mapenzi

Karibu!Hehehe naona kama umenishukuru mimi japo sio mimi!Vipi hapo mwisho?
.......tehe.......tehe......kona ikipigwa yeyote anaweza kufunga, bora uruke kwa malengo uki-aim kupiga kichwa mpira.
 
Duh umesha achika kwa mpwa Masa?

Hahaha Fidel nimesema kuna mtu anataka ila sidhani kama atafanikiwa!Usikute na wewe mmoja wao maana ulivyouliza haraka.....!
 
.......tehe.......tehe......kona ikipigwa yeyote anaweza kufunga, bora uruke kwa malengo uki-aim kupiga kichwa mpira.
Embu naomba ujipige ngumi moja kwanza maana nakuona unanivizia gizani!
 
Lizzy naweza pata uji wa ulezi changanya na maziwa mtindi! Ngoja nitafute ule mkuki wa Kichungaji....

Unakuja baba mchungaji..tena naweka na samli kabisa!!Chapa chapa kabisa hiyo mtu inavizia mama mchungaji inataka kanisa likose mama mlezi!
 
Nitaota sugu tu, Hii dalili njema Michelle naona bado anajiuliza!!!!.... :eyeroll1:
Hahaha labda mistari hailipi!!Hapa baba mchungaji kajenga..so kuhama itakua kazi.. inabidi ukaze buti huko huko!
 
Hahaha labda mistari hailipi!!Hapa baba mchungaji kajenga..so kuhama itakua kazi.. inabidi ukaze buti huko huko!

Tena nyumba imara itakadumu hadi ukamilifu wa dahali!
 
Maneno murua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…