M Makendaa JF-Expert Member Joined Dec 13, 2013 Posts 271 Reaction score 142 Jul 23, 2015 #41 Pdidy said: Ule uwanja wa ahsante rage kule mbweni umeishia wapi??KUNA TAARIFA MMEAANZA KUUZA VIPANDE VIPANDE.MSAADA PLS NAMI NAITAJI KIWANJA NAAMINI MTANIPA BEI YA MTANI SIKINIKOMOA.. Click to expand... Mkuu Karibu 25*25 sa iv ni 3mil baada ya 5mil hapo awali tumeona tushushe maana watu wanaliogopa lile pori heti kuna Chui mle
Pdidy said: Ule uwanja wa ahsante rage kule mbweni umeishia wapi??KUNA TAARIFA MMEAANZA KUUZA VIPANDE VIPANDE.MSAADA PLS NAMI NAITAJI KIWANJA NAAMINI MTANIPA BEI YA MTANI SIKINIKOMOA.. Click to expand... Mkuu Karibu 25*25 sa iv ni 3mil baada ya 5mil hapo awali tumeona tushushe maana watu wanaliogopa lile pori heti kuna Chui mle
Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,674 Reaction score 37,852 Jul 23, 2015 #42 Makendaa said: Mkuu Karibu 25*25 sa iv ni 3mil baada ya 5mil hapo awali tumeona tushushe maana watu wanaliogopa lile pori heti kuna Chui mle Click to expand... sio tu chui mpwa alixikwa nduguzetu hawa wanaoporwa uhai mwz kila siku akiwa.mzima.mzima A..we pekua kwenye mashimo...
Makendaa said: Mkuu Karibu 25*25 sa iv ni 3mil baada ya 5mil hapo awali tumeona tushushe maana watu wanaliogopa lile pori heti kuna Chui mle Click to expand... sio tu chui mpwa alixikwa nduguzetu hawa wanaoporwa uhai mwz kila siku akiwa.mzima.mzima A..we pekua kwenye mashimo...
Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,674 Reaction score 37,852 Jul 23, 2015 #43 Bei nzuri ila uliza uongozi kwa...watu wanaogopa mpwaa??walidanganywa na.mganga..lo wakifanya hivyo wafadhili wanamiminika loh
Bei nzuri ila uliza uongozi kwa...watu wanaogopa mpwaa??walidanganywa na.mganga..lo wakifanya hivyo wafadhili wanamiminika loh
Fukara JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 1,624 Reaction score 931 Jul 23, 2015 #44 Simba wao hawajashiliki Ndondo ya Dokta mwaka kwani?
sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Jul 23, 2015 Thread starter #45 Fukara said: Simba wao hawajashiliki Ndodo ya Dokta mwaka kwani? Click to expand... Tunasubiri Bonanza la Mtani Jembe.
Fukara said: Simba wao hawajashiliki Ndodo ya Dokta mwaka kwani? Click to expand... Tunasubiri Bonanza la Mtani Jembe.
Fukara JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 1,624 Reaction score 931 Jul 23, 2015 #46 sembo said: Tunasubiri Bonanza la Mtani Jembe. Click to expand... Sisi sio size yenu nyinyi..sisi ni level za TP mazembe..
sembo said: Tunasubiri Bonanza la Mtani Jembe. Click to expand... Sisi sio size yenu nyinyi..sisi ni level za TP mazembe..
sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Jul 23, 2015 Thread starter #47 Fukara said: Sisi sio size yenu nyinyi..sisi ni level za TP mazembe.. Click to expand... Sawa wazee wakimataifa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Fukara said: Sisi sio size yenu nyinyi..sisi ni level za TP mazembe.. Click to expand... Sawa wazee wakimataifa
B BBA JF-Expert Member Joined May 27, 2012 Posts 319 Reaction score 75 Jul 24, 2015 #48 sembo said: sawa wazee wakimataifa Click to expand... hawana kitu hao. Maneno tu ndio yao Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
G guasa JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 1,933 Reaction score 665 Jul 25, 2015 #49 Wamemuuza okwi na kumnunua mgosi yaani kama Liverpool walimuuza suarez na kumnunua baloteli.
B BBA JF-Expert Member Joined May 27, 2012 Posts 319 Reaction score 75 Jul 25, 2015 #50 guasa said: Wamemuuza okwi na kumnunua mgosi yaani kama Liverpool walimuuza suarez na kumnunua baloteli. Click to expand... Subirini mechi ndo mseme.
guasa said: Wamemuuza okwi na kumnunua mgosi yaani kama Liverpool walimuuza suarez na kumnunua baloteli. Click to expand... Subirini mechi ndo mseme.