ha ha ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daaa waga inaniuma sana .,watu wanaongea vitu vya maana halafu kijana na akili timamu ambao tunawaona taifa la kesho anakomenti ushabiki wa kichama hasa vijana wa ccm.Kwa mfano hii thread inahusiana vipi na mbowe kukamatwa????
Waga nawasiwasi sana kama vijana wa namna hii kama marinda yao yako kamili.Najua marinda yakisha tanduliwa huwezi kufikiria sawa sawa.Ndiyo maana komenti kama hizi tutaendelea kuziona.
Naomba nikuulize swali.......ikitokea ukoo wako wote hakuna hata aliyewahi kufika hata form six.......je ikatokea kwako wewe amejitokeza mtu yupo tayari kusimamia gharama za kukusomesha hadi chuo kikuu na kumaliza level zote......je utamkatalia kwasababu unaamini unatokea ukoo wa jamii ambaye imefeli kujielimisha au utathubutu......na je ni nini matarajio ya future yako kama utaamini jamii yako kimtazamo ilivyo na wewe ni upo kama wao na hautaweza badilika?!Africa ni bara la giza...hata siku moja haliwezi kuwa la mwanga
ni nani wauibadilisha Afrika? jibu ni hakuna..kila kitu tunachotumia ni cha mzungu...hata leo wazungu wakigoma kununua madini yetu hatuna sehemu ya kuyapeleka....tukubali ukweli tu hatuwezi kuishi bila kumtegemea mzunguNaomba nikuulize swali.......ikitokea ukoo wako wote hakuna hata aliyewahi kufika hata form six.......je ikatokea kwako wewe amejitokeza mtu yupo tayari kusimamia gharama za kukusomesha hadi chuo kikuu na kumaliza level zote......je utamkatalia kwasababu unaamini unatokea ukoo wa jamii ambaye imefeli kujielimisha au utathubutu......na je ni nini matarajio ya future yako kama utaamini jamii yako kimtazamo ilivyo na wewe ni upo kama wao na hautaweza badilika?!
Ukiweza jibu hilo swali basi itakuwa rahisi kuelewa ni kwanini kuna waafrika kama ww ambao wanawazua bila kutafakari wanatumia fikra za kupewa badala ya fikra mtambuka za kutafakari uhalisia. Hata wale wasiotujali wanataka tuwaze kama wewe hivyo hivyo.
sasa wewe ndio wale wadau waoabudu kufeli. Kwahiyo sisi bila wazungu hatuexistni nani wauibadilisha Afrika? jibu ni hakuna..kila kitu tunachotumia ni cha mzungu...hata leo wazungu wakigoma kununua madini yetu hatuna sehemu ya kuyapeleka....tukubali ukweli tu hatuwezi kuishi bila kumtegemea mzungu