Time is a good healer and a good speaker. Tayari watu wameshaanza kuchambua wateule wake, mikakati yake ya kiutawala, Soyinka ameshajitoa kwenye maanadamano na kuamua kuhamia Canada, bado hataki kurudi kwao kwenda kupigania anachokiamini.Yule bibi keshasahaulika tayari.
Safii sanaa,washafyataaaTime is a good healer and a good speaker. Tayari watu wameshaanza kuchambua wateule wake, mikakati yake ya kiutawala, Soyinka ameshajitoa kwenye maanadamano na kuamua kuhamia Canada, bado hataki kurudi kwao kwenda kupigania anachokiamini.
Tayari watu wanaingia kwenye tweets zake na kuanza kushauri the better way for making America Great again. Kwa kifupi wameshamkubali, maana hata CNN hai report tena yale maanadamano bali wanaanza kuelekea kwenye issues.
Kiukweli mkuu hawa CNN walinikera sana,Huwa nakuwa na utaratibu wa kuwasha TV asubuhi saa 11 wakati najianda kwenda mishemishe,Mara nyingi huwa naweka CNN.Unakuta jamaa kila siku ni mijadala inayozungumzia mapungufu ya Trump,yaani wajamaa wako very negative kwa Trump.Sasa ivi naona wamepunguza kidogo.Kama ulivyosema wanaanza ku discuss issues.Time is a good healer and a good speaker. Tayari watu wameshaanza kuchambua wateule wake, mikakati yake ya kiutawala, Soyinka ameshajitoa kwenye maanadamano na kuamua kuhamia Canada, bado hataki kurudi kwao kwenda kupigania anachokiamini.
Tayari watu wanaingia kwenye tweets zake na kuanza kushauri the better way for making America Great again. Kwa kifupi wameshamkubali, maana hata CNN hai report tena yale maanadamano bali wanaanza kuelekea kwenye issues.
Kwahiyo wewe unaziamini mediaKiukweli mkuu hawa CNN walinikera sana,Huwa nakuwa na utaratibu wa kuwasha TV asubuhi saa 11 wakati najianda kwenda mishemishe,Mara nyingi huwa naweka CNN.Unakuta jamaa kila siku ni mijadala inayozungumzia mapungufu ya Trump,yaani wajamaa wako very negative kwa Trump.Sasa ivi naona wamepunguza kidogo.Kama ulivyosema wanaanza ku discuss issues.
Kiukweli mkuu hawa CNN walinikera sana,Huwa nakuwa na utaratibu wa kuwasha TV asubuhi saa 11 wakati najianda kwenda mishemishe,Mara nyingi huwa naweka CNN.Unakuta jamaa kila siku ni mijadala inayozungumzia mapungufu ya Trump,yaani wajamaa wako very negative kwa Trump.Sasa ivi naona wamepunguza kidogo.Kama ulivyosema wanaanza ku discuss issues.
Time is a good healer and a good speaker. Tayari watu wameshaanza kuchambua wateule wake, mikakati yake ya kiutawala, Soyinka ameshajitoa kwenye maanadamano na kuamua kuhamia Canada, bado hataki kurudi kwao kwenda kupigania anachokiamini.
Tayari watu wanaingia kwenye tweets zake na kuanza kushauri the better way for making America Great again. Kwa kifupi wameshamkubali, maana hata CNN hai report tena yale maanadamano bali wanaanza kuelekea kwenye issues.
nani angempa Urais yule; kule urais siyo kama huku watu ukiwapa wali basi game umemeliza. Rais kule anachaguliwa na watu 530 wanajielewa.Yule bibi keshasahaulika tayari.
Hatukueleweka, na sidhani kama kama tumeeleweka au tutakuja kueleweka. Wengi wanadhani maoni yetu yalishinda, kumbe sisi hatujashinda wala hatukua na maoni bali tulisimamama kwenye uhalisia, uhalisia tulioupata baada ya kuchimba sana na kuhangaisha sana vichwa. Watu wanatabia ya kuongea wayapendayo, yanayoburudisha mioyo yao, hawa ni wale wenye hulka za kishabiki si wadadisi. Shida huanzia hapo. Hawapendi kuongea wala kusikia kutoka kwenye yale yaumizayo mioyo yao.Kaka nakumbuka tuliongea sana hapa,
Tukatukanwa kweli kwamba sisi tumelishwa propaganda za Kirusi.
Lakini ukweli ni kwamba hadi Trump mwenyewe amekubali kwamba kuna matatizo makubwa sana Marekani.
Hatukueleweka, na sidhani kama kama tumeeleweka au tutakuja kueleweka. Wengi wanadhani maoni yetu yalishinda, kumbe sisi hatujashinda wala hatukua na maoni bali tulisimamama kwenye uhalisia, uhalisia tulioupata baada ya kuchimba sana na kuhangaisha sana vichwa. Watu wanatabia ya kuongea wayapendayo, yanayoburudisha mioyo yao, hawa ni wale wenye hulka za kishabiki si wadadisi. Shida huanzia hapo. Hawapendi kuongea wala kusikia kutoka kwenye yale yaumizayo mioyo yao.
Hili nitalitafutia muda ili nilifanyie kazi. Maana mpaka sasa hakuna ajuaye in details kilichotokea. Ulimwengu wa wadadisi mpaka sasa upo puzzled.Binafsi napata maswali mengi sana juu ya Donald Trump,
Mfanya biashara wa kawaida pamoja na hela zako nyingi hapa duniani,
Huwezi kushinda na watu kama wakina George Soros, Clinton, Obama, Bush na wale Wayahudi wa Goldman Sachs halafu ukatoka salama. Kinachonishangaza zaidi ni jinsi ambavyo alivishinda vyombo vya habari, yule jamaa sijui ana nini.