Anajifanya hajui kwamba walitunga huo uongo ili wakachote mafuta Iraq? Hajui kwamba walitaka kufanya hivyo kwa Venezuela kupitia Juan Guaido ili wakajichotee mafuta? Na hata sasa huko Iran ni wanatafuta sababu kwa kuwa-provoke Iran ili wakirudisha kisasi basi US ipate sababu ya kuingia Iran na kujichotea mafuta? Hata Libya si walimtungia zengwe Gadaffi na sasa wanafyonza tu mafuta? Au anafikiri na sisi tumesahau? Mbona hawataki kwenda Somalia pamoja na ugaidi wa Alshabab, kisa hamna mafuta sio? Kama walipenda haki za walibya kwanini hawakuingilia mauaji ya kimbari Rwanda ila Libya wakajidai kutetea democracy.., washenxi tu hao