Donald Trump mispronounces Tanzania, prompting a burn from White House press secretary

rr3

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
3,045
3,821
By Helena Andrews-Dyer April 27 at 2:41 PM

Let’s get this out of the way first. It’s TAHN-zuh-nee-ah and not Tahn-ZAH-nee-uh.

On Monday, Republican presidential front-runner Donald Trump gave a rare foreign policy speech at the Mayflower hotel in Washington. During the real estate mogul’s 38-minute lesson plan for U.S. relations abroad, which he read from a teleprompter, Trump mispronounced the name of the east African country. And if the press in the room didn’t catch it, social media couldn’t let it go.

And neither would the White House.

When told about Trump’s verbal gaffe, White House spokesman Josh Earnest couldn’t resist the burn.

“Apparently the phonetics aren’t included on the teleprompter,” joked Earnest during his daily media briefing.

In the past, Trump has made much about his political opponents’ use of teleprompters. During a campaign stop in Georgia in October he told the crowd, “I’ve always said, if you run for president, you shouldn’t be allowed to use teleprompters. Because you don’t even know if the guy’s smart.” More recently, in January, he accused Hillary Clinton, the Democratic presidential front-runner, of using “the biggest teleprompters” he’d ever seen.
 
Mbona hii ya Trump kuchapia kwenye kutamka jina la Tanzania ni suala dogo sana lakini naona watu wanaiongelea sana mitandaoni utafikiri Trump aliwahi kuishi mitaa ya Kariakoo Tanzania?!
 
Mbona hii ya Trump kuchapia kwenye kutamka jina la Tanzania ni suala dogo sana lakini naona watu wanaiongelea sana mitandaoni utafikiri Trump aliwahi kuishi mitaa ya Kariakoo Tanzania?!

mmmh mkuu rudia tena
 
Mbona ameitamka kama ambavyo wanaotumia lugha ya Kiingereza kama mother tongue yao ndivyo wanavyotamka. Nimeirudia sana kuisikiliza.
Kwa wale wapenzi wa mziki kuna wimbo wa MAKE ME SING, Diamond & AKA, kina mahali AKA kataja tanzania kama alivyotaka Trump, ndio utamkaji wa English speakers wengi .Hapa nionacho ni Trump kawakalisha wengi, hofu imeanza kuwaingia.
 
Kwa wale wapenzi wa mziki kuna wimbo wa MAKE ME SING, Diamond & AKA, kina mahali AKA kataja tanzania kama alivyotaka Trump, ndio utamkaji wa English speakers wengi .Hapa nionacho ni Trump kawakalisha wengi, hofu imeanza kuwaingia.
Halafu alichokuwa anazungumza si kibaya, alikuwa anatoa reference tu ya kile kilichotokewa mara baada ya kulipuliwa kwa balozi za Marakeni nchini Kenya na Tanzania! Ndo maana kazitaja mara moja nchi zote mbili.
 
Kawaida, imewachanganya TANZANIA, kutamka TENZANIA, ni matamshi ya herufi "A" kiuongeaji kwa wenzetu.

Ni matamshi tu, ila wala hajachapia.

Ni sawa na sisi tunatamka IRAQ, wenzetu wanatamka AIRAQ
 
sijaona cha maana kuanza kumuongelea kisa kutamka kwake Tanzania.
 
Sijasikia Kichapizi chochote... Mtoa Mada ni Mpumbavu...

Tanzania yenyewe ni neno lililounganishwa kipumbavu na halina maana yoyote hakuna nchi inayoitwa Tan wala Zan na huo Mkia unaitwa Nia ni upuuzi mtupu.... tulitakiwa Tutamke kama nchi zetu zilivyokuwa Tanganyika and Zanzibar full stop Mbona Nchi kama Trinidad and Tobago zipo kama zilivyokuwa na zinatamkwa na zimezoeleka.... so kama tuliamua kuvunja jina la nchi yetu basi na wageni watalivunja tu... Netanyau hakukosea kutamka Tanzmania... maana inafanana na Tasmania tumeiga neno Nia... kazi yetu ni kuiga iga
 
Back
Top Bottom