Donald Trump kuzungumza na rais wa Kenya Uhuru Kenyatta

Prof

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,577
2,452
Rais Donald Trump atazungumza na rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kwa njia ya simu

_94964618_trumpobamafbi.jpg

Mazungumzo yao yatakuwa ya kwanza tangu rais huyo wa Marekani apate ushinda katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwishoni mwa jana.
Uhuru Kenyatta atakuwa rais wa nne wa Afrika kuzungumza na rais huyo kutoka taifa lenye uwezo mkubwa duniani.
Kati ya maraisa wa Afrika aliozungumza nao kwa njia ya simu ni rais wa Misri Abdel Fatah al Sisi, rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma na rais wa Nigeria Muhammadu Buhari .
_94964620_uhurubkenyatta5.jpg

Source: BBC Swahili

Hivi sizonje kwa nini yuko kimya? kwa nini hataki kuwasiliana na viongozi wenzake japo nasi tuonekane kama tupo Duniani!, kwa nini hajifunzi kwa Mheshimiwa Kikwete?
 
Hao viongozi wakubwa wa dunia hawajui kiswahili kk!!
Hili suala la lugha litatuletea shida sana watanzania. Inapofikia hatua mtu anashindwa kuongea mbele za watu au anawakimbia kwa visingizio vya kijinga ni tatizo kama sio janga la kitaifa. Kuna mambo mengi sana yanaathirika kutokana na watendaji kutomudu lugha - mikataba, negotiations, or even informal talks among leaders.
 
Mkuu, uko shihi kabisa. Lugha inatuangusha sana. kutokana na kutojua lugha, viongozi wengi akiwemo Rais anakosa confidence ya kuhutubia jamii ya kimataifa. sometimes anataka kuwa-convince donors na wamewekezaji, lakini anashindwa kufikisha message aliyoinuia kuiwasilisha. Daah! nchi yangu tz naona imepata jinamizi kipindi hiki....
 
Tanzania hakuna ugaidi. Akitaka masuala ya kiuchumi atampgia mkuu wetu
 
--Akihitaji kuongea na nchi hii tunakitengo cha foreign affair wataongea nae"
#Hapa_kazi_tu...!/
•aliongeaji na rais wa Russia na China...
 
Back
Top Bottom