Mpaka sasa hvi D.Trump
anaongoza kwenye kura zote za maoni huko USA hivyo kuna dalili kwamba atashinda uchaguzi kwani Wamarekani wameshachoka na
Uongozi wa kisanii wa akina Obama, Clinton &Co. hivyo kilichobakia sasa hivi ni kumchafua tu!
Sasa siajabu vyombo vya habari vya USA ambavyo vingi ni
anti Trump vikatumia hili tukio kama chanzo cha kujaribu kummaliza kumuhusisha D.trump kwa namna moja au nyingine, kwamba yeye ni mbaguzi na anahusika na hayo mauaji, tutege masikio tutasikia mengi, kwani
maelite hawataki D.Trump awe raisi wa USA, kwani D.Trump ameahidi kuzuia
One World Governament project na kuiondoa USA NAFTA, kuondoa majeshi ya USA mahali ambapo hayahitajiki kuwepo,
ameahidi kuitokomeza Isis mara moja, Isis kama ilivyo Al jkaida, Alshabaa, J.Koni, Boko haramu ambao wameundwa na kufadhiliwa na ma
elite wa USA kwa lengo la ku
destabilize Dunia ili ajenda zao zifanikiwe!
Lyaikini Wamarekani wameshaamua
wamechoshwa na uongozi wa kiisanii wa akina Obama, Clinton na sasa wanamtaka D.Trump!