Donald Trump kukutana na Rais wa China

Donald Trump kukutana na Rais wa China

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,505
Reaction score
16,006
Donald Trump kukutana na rais wa China
_92427426_eea323f8-ca2c-4b60-8676-ce4338d530f7.jpg
Image copyright EPA
Image caption Rais wa China Xi Jinping
Rais wa China Xi Jinping, na rais mteule wa marekani , Donald Trump wamekubaliana kwa njia ya simu kukutana katika siku za hivi karibuni ili kujadiliana kuhusu uhusiano kati ya nchi hizo mbili.


Runinga ya China imemnukuu bwana Xi akimwambia bwana Trump kwamba ushikamano ndio chaguo la kipekee katika uhusiano wao.

Katika kampeini yake bwana Trump amekuwa akiilaumu China kwa kufanya biashara haramu na udanganyifu wa fedha.


Pia ameonya kuwekeza asilimia 45 ya ushuru kwa bidhaa zinazotoka nje ya china.

Ofisi ya bwana trump imesema viogozi hao wawili wameonyesha heshima katika mazungumzo yao kwa njia ya simu.
 
America is becoming great again for sure. Hili lijamaa kweli ni gwiji la siasa na diplomasia za kimataifa japo hajawahi kushika wadhifa wowote kisiasa; its inborn talent ya hali ya juu sana. Hilary asingeweza kuwa amerudisha heshima ya US kwa muda mfupi hivi. Now everybody is talking about US hadi ISIS.
 
Back
Top Bottom