pepsin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 3,474
- 6,147
Make America Great Again-Trump:On whose expense?
Uchaguzi wa rais wa Marekani umekaribia
Uchaguzi huu ni sasa lna uchaguzi wa rais wa dunia,hili lipo wazi,tukatae au tukubali.
Wagombea wa Republican wanaopewa nafasi ni bwana Tedy Cruz,governor wa Texas na bilionea Donald Trump.
Democratic party wengi wamejitoa ila nafasi ga kuteuliwa ipo kwa mama Clinton.
Kwa Africa na Dunia inaweza kumtaka Ted Cruz,a conservative ila Donald Trump.
Akishika madaraka Trump, CCM ya bongo itaenda na maji mapema maana jamaa harembi na tayari ana pingu za Mseveni na Robert Mugabe mkononi! Huyu ni reformist, hata historic conservation.
(Make America great again!) ndio kauli mbiu yake.
Swali ni America itakuwa tishio tena kivipi kama sio kwa kutuchapa na kutupora?