real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Mgombea wa urais wa chama cha Republican Donald Trump ameshinda katika jimbo la Nevada nchini Marekani, na hivyo basi kuimarisha uongozi wake katika mchujo wa kuwania tiketi ya chama hicho.
Tajiri huyo sasa ameshinda mara tatu, kufuatia ushindi wake katika jimbo la New Hampshire na Carolina kusini.
Chanzo: ITV
Tajiri huyo sasa ameshinda mara tatu, kufuatia ushindi wake katika jimbo la New Hampshire na Carolina kusini.
Chanzo: ITV