Donald Trump ashinda l

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Donald Trump ameshinda kinyang'anyiro cha kugombea urais kupitia chama cha republican katika jimbo la new Hampshire
chanzo BBC
 
Hahahaha mkuu umekasirika eeh?
Kutoka moyoni simpendi kabisa kwa sera zake za ubaguzi...lakini kwa upande mwingine nataka ashinde kwa ajili ya kuwanyoosha viongozi wa kiafrika.....ambao wanadhani kutawala ni haki yao milele.....
 
ni heri ashinde ili viongozi wa kiafrika wajue wakishachaguliwa sio nafasi ya kujitajirisha wao na familia zao pamoja na wapambe wao
 
Angalau kwa karne hata moja wamarekani wakiwa wanampata kiongozi kama trump dunia inakuwa inapendeza.
 
Back
Top Bottom