Donald Trump afikisha idadi ya wawakilishi wa kutosha kushinda ugombea wa Republican

Mar 17, 2016
71
91
Donald Trump amefanikiwa rasmi kuwa Presumptive nominee wa urais wa Republican Party baada ya kufikisha idadi ya wawakilishi(delegates) 1238 ikiwa ni 2 zaidi ya delegates 1236 wanahitajika kushinda kwenye mkutano mkuu wa chama utakaofanyika mwezi July.

Kwa mujibu wa A.P super delegates kadhaa ambao hawakua wamebanwa kumuunga mkono mgombea yoyote kuweka wazi watampigia kura Mr.Trump.

Hatua hii inaondoa uwezekano wowote wa kua na mkutano wa wazi "open/contested convention".

Source: Associated Press (AP)
 
Mbona una haraka, tulia andika tu vizuri, thread ni yako hii.
 
Back
Top Bottom