Anayekula hivyo usiombe ukabahatisha ukapanda nae ' Daladala ' lililoshona / lililojaa halafu ' akajamba ' unaweza ukaomba ule Upepo wote wa Bahari ya Hindi ukupulizie siku nzima ili uepuke na ' Kitu ' alichokiachia ambacho ' Kimetukuka ' kwa Kunuka vibaya.