Dont make a woman cry because there is nothing more expensive than a lady's tears.
Am here, ila team rafiki mwenzako Sungura1980 asikusikie kama umeniambia hivyo oooh.
hahah kuna kitu namalizia kuandaa mkuu i will be back very soonKaka Mndengereko hebu piga ile mambo yako ya kingendereko sungura1980 asikumbuke kuingia JF kwa muda kidogo. Kuna ka busines plan tunakamalizia apa ili asilete rapsha rapsha. Ntakujuza wakati wa kumwachia. nakala kwa M/kiti.
Unajua binadamu tunatofautiana sana hivyo si vizuri hata kidogo kugeneralize. Nina rafiki yangu huyo hata akutwe na situationa ya namna gani dada yule huwa hatoi chozi hata kidogo na huwa hata sijui anaweza lizwa na nini. Mimi sasa machozi yangu yako karibu sana hasa ninapoona naonewa, yaani siipendi kabisa hii tabia ya kutoa machozi lkn sina uwezo wa kuzuia. Hapo juzi nilikua nafanya kitu flani sasa kuna software walitakiwa wanipe ili nikamilishe project yangu. Kwa bahati mbaya sikupewa na nikaanza kulaumiwa kwanini sikumaliza kwa wakati si badae machozi hayoooo yakaanza kutoka , ilibidi nijifiche kwanza.
pacha umeongea neno ambalo katika perfect world linaweza kuwa sahihi...
katika dunia hii yenye kila aina ya mitikisiko, wanawake watalia kila siku kwa sababu wao wenyewe ndio vyanzo vya matatizo achilia mbali ukorofi wa wanaume...
wanawake wengi wanajichukulia maamuzi siku hizi bila kushirikisha upande wa pili (mwanaume) ambao ndio uliompa sapoti ya jambo fulani.. kiburi tu....
sishabikii katika kumwaga chozi la mwanamke yeyote, lakini inategemea na mwanaume mmoja kwenda mwingine.
wengine ni wataalam wa kubembeleza, na wengine wana mikono myepesi sana...
hivyo, hamna dunia perfect ya kutofanya mwanamke asilie kwa sababu ya mwanaume.
Mndengereko na sungura1980 hawajarudisha kadi ya #teambazazi hivyo basi wamekosa sifa ya kuwa #teamRafikiKaka Mndengereko hebu piga ile mambo yako ya kingendereko sungura1980 asikumbuke kuingia JF kwa muda kidogo. Kuna ka busines plan tunakamalizia apa ili asilete rapsha rapsha. Ntakujuza wakati wa kumwachia. nakala kwa M/kiti.
Mndengereko na sungura1980 hawajarudisha kadi ya #teambazazi hivyo basi wamekosa sifa ya kuwa #teamRafiki
Jamani mbona mwekundu unanipa presha za asubuhi hivi? Mume wangu Sungura1980. Hajawahi kuwa bazazi wala kuwa chama cha teambazazi. Alikuwa kwenye chama cha makapera aliponioa, akaomba kuingia teamrafiki, please kanusha kauli yako.
Labda Mndengereko ndio alikuwa teambazazi.
daaaaaaaaaaaaah sheeeder...............umeua mbaya ha ha ha ha
akitaka ampate anaejua kubembeleza inabidia chague vizuri kutoka kwenye #teamrafiki akichagua kutoka [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teambazazi]#teambazazi [/URL] imekula kwake
daaaaaaaaaaaaah sheeeder...............umeua mbaya ha ha ha ha
Enrique Iglesias - Somebody's Me - YouTube
Yah buddy but kuna some ni prtenders inakua ngumu kujua ana kilio cha huzuni,furaha au ana pretend