Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Hahahaa.. Mkuu sistahili hio heshima ya Baba ushauri. Hio kofia ni mgawane Wewe, Mr Rocky na Ntunzu tafadhali.
Bantu lady plz come this way, I wanna ruin your lipstick so dearly!!!!!!
Mi nataka unililie
mkuu cheo hicho mimi hakinifai ni chako bado sijakomaa vizuri kuna mapungufu ninakuwa nayo sometimes kwenye ushauri si unajua bado naendelea kula ujana,
My tears dried up.
Now I have found love, its all smiles.
Lucky me Karucee.
sa kibuti,kidochi au kinini anyway nitakusanya mwenyewtaarifa zangu za kiintelijinsia na kujua unaenda kupakia wapi....
Kila mtu anaupungufu kaka tena mwingi tu. Na walio bora ni wale wanaojiona kuwa na upungufu maana wanajifunza kila siku. ukiona mtu anayesema hana upungufu.. huyo ni wakumhofia sana. maana chances za kuwa hajui ni nyingi kuliko kujua.
Lovely!!!! Enjoy it dear!!!
Kila mtu anaupungufu kaka tena mwingi tu. Na walio bora ni wale wanaojiona kuwa na upungufu maana wanajifunza kila siku. ukiona mtu anayesema hana upungufu.. huyo ni wakumhofia sana. maana chances za kuwa hajui ni nyingi kuliko kujua.
mimi nina mapungufu mkuu
mhhhhhhhhh aya kuna team#bazazi na #teamrafiki wamekusikia
I intend to enjoy it and make him happy to the best of my ability, so help me God.
mhhhhhhhhh aya kuna team#bazazi na #teamrafiki wamekusikia
Amen!!! Please enjoy responsibly!!!!
Hahahaaaa. It means am sharp enough to read a mans next move long before he makes it.
Plus other ways. lol
Hii ni kweli sometimes ukibidi tuache tulie ila kwa sababu maalum inaleta raha pale unalia afu jamaa anaanza kukubembeleza kimahaba huku anakupa na kimoja kama kipoozeo unasahau yalotokea....