Domo punguza stress..


Kweli hiyo mikufu ilikuwa inavaliwa sana na mafiraoon wa egypt ndio alama yao sasa tunaiga sana bila kujua maana pia inaitwa ankh ni alama ya kishetani
 
we nae yako yamekushinda unahangaika na diamond,,,,ata ukimuombea mabaya wala we haupangi what hapens nxt

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Huyu analaana ya baba yake tuliwahi kumshauri huku jf kwamba amzarauye babaye maisha yake ni kama tone la maji washabiki wake hawakutuelewa sasa wanaanza kumkimbia tunamshauri tena akampigie babaye magoti aepuke hiyo laana ili asipotee Kabisa.

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
 
MR.NICE nae alikuwa na laana ya nani
 
Mtu anayesema diamond hajui mi naona ni chuki binafsi tu ndo zinazomsumbua.... Hebu jaribu kusikiliza mashairi yake km ya wwache waoane aliyoshirikishwa na chege au ile alioishirikishwa na mzimbabwe. Mnataka aimbaje labda ndo mtamkubali au mpk aimbe note km kwaya ndo mumuone msanii. Jamaa ana mapungufu katika upande mwengine lakini msijaribu kumhukumu mpk kwenye mafanikio yake. Me ndo namuona msanii anayepasua anga kuliko wote bongo

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 

Hivi saa hizi saa ngapi?
 
Wabongo banaaaa..we kaaa hivo hivo tu..mnasubirigi vya watu mvitoe kasoro..mqemzko yke yanakwendaa we umekaaaa domo domo...!alafu ukitaka kufanikiwa usiwabeze wanaokusemaa..wakat we unasema domo"mwenzio ili useme vizur ndio anazid kulibetuaaa huku dolaaa zikiingiaa tu...kazi kwako ww unakwesha kupiga swaga

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ila nyimbo zke unazo?...

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada achana nae mondi kama anapotea na uwezo umeshuka mpotezee we wa nini sasa unamzungumzia kwani Tanzania kuna msanii mmoja tu mbona wapo wengi tu wazuri wambie nao wakanunue tuzo na views youtube ka diamond anvyofanya ili nao wakafanye shoo nchi kama Zambia Zimbabwe mayote mascut huko wajaze viwanja vya mipira sio kung'ang'ania shoo za marekan znazofanyika kwenye vibar.. Note watanzania tunapenda kuchukia walofanikiwa kwa kizingizio cha maringo haiwezekan mtu aongoze kwa kila kitu alafu aonekane anashuka bila kuwaona hao wanaopanda.. Wacha mie nisikilize eneka mida hii

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, Domondi amefika mwisho. Hakuna mwanamuziki aliyeurudia kuuimba wimbo wa mwanamuziki mwingine aliyebaki salama. Domondi amepoteza ubunifu, mvuto na ubora. Ameshagota!
Kaka unamfahamu Tory Lanez au
unamfaham Dj Khaled (wild thought)
hao wote wameimba sample ya nyimbo za watu na nyota zao zimezid kung'aa

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
 
jamani mtaani kwetu kule kunduchi kuna waha weengi yaani inafaa na ww uwe mlozi ili uweze kufanya lolote

kuna waha
wasambaa
wamakonde
View attachment 539531



Watalii a.k.a. wamakonde ni sawa na wazaramo, wanajali sana jadi, ngoma na uchongaji vinyago.....uchawi si sana na huwezi kuwafananisha na Waha. Waha jamani ni habari ingine. Watu wa kanda ya Ziwa wana ishu kishenzi, yaani Waha, wabembe, waangaza, mkoa wa Rukwa, Mbeya, Katavi, Sumbawanga, Tabora, ilibidi ichomwe moto tu kama Sodoma na Gomorah.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…