KWANZAMEDIA
Member
- Apr 11, 2018
- 7
- 1
naitaji .comDomain zilizopo kwenye offer:
Com
Net
Org
Info
Bei ni tzs 15,000 kwa mwaka
New registration pamoja na domain name transfer.. 0764178822
Akijibu nitagTotal cost kuanzia web designing had mwisho ni kias gan mkuu
Domain name kwa mwaka mmoja ni km elfu 2 tembelea www.godaddy.com uwe na card ya banknaitaji .com
Tupatie promo code mzee maana kwa buku 2 bila promo haiwezekaniDomain name kwa mwaka mmoja ni km elfu 2 tembelea www.godaddy.com uwe na card ya bank
Nawapatia lkn ht km huna promo code inakubalikaTupatie promo code mzee maana kwa buku 2 bila promo haiwezekani
tupe iyo promo codeNawapatia lkn ht km huna promo code inakubalika
Salum Mohammed mimi siwezi kukuacha mpaka pale utaporudisha pesa yangu tapeli muogopeni sana huyu tapeli website yake mpya hii Kwanzamedia.comDomain zilizopo kwenye offer:
Com
Net
Org
Info
Bei ni tzs 15,000 kwa mwaka
New registration pamoja na domain name transfer.. 0764178822
kumbe mwizi brSalum Mohammed mimi siwezi kukuacha mpaka pale utaporudisha pesa yangu tapeli muogopeni sana huyu tapeli website yake mpya hii Kwanzamedia.com
Salum Mohammed kuwa na hofu ya Mungu
Kwasasa anatumia kwanzamedia.com
hahahahahah kumbe kajambaziSalum Mohammed mimi siwezi kukuacha mpaka pale utaporudisha pesa yangu tapeli muogopeni sana huyu tapeli website yake mpya hii Kwanzamedia.com
Salum Mohammed kuwa na hofu ya Mungu
Kwasasa anatumia kwanzamedia.com
Jamaa kajipanga sana kwenye kutapeli watu mimi nawapa tahadhari na mtu huyu ana namba nyingi pia na id nyingi sipendi kuona mtu mwingine anatapeliwa inaumiza sana kwa kipindi hichi pesa zilivyo ngumu mtu anashindwa kuitumia elimu yake anaanza kutapeli watuKumbe we Tapeli ...kwanza media
hahahahahah kumbe kajambazi
Asante sana Kwa kutufungua ...kumbe jamaa Tapeli suguJamaa kajipanga sana kwenye kutapeli watu mimi nawapa tahadhari na mtu huyu ana namba nyingi pia na id nyingi sipendi kuona mtu mwingine anatapeliwa inaumiza sana kwa kipindi hichi pesa zilivyo ngumu mtu anashindwa kuitumia elimu yake anaanza kutapeli watu