Lakini kuna mambo yanapita bila kujadiliwa kwa undani.
Je mheshimiwa Mabere Mrando amefuata nini CHADEMA na ni kwanini anazungukazunguka ndani ya wigo wa siasa za vyama vingi ambao yeye alishiriki kuuanzisha akiwa NCCR Mageuzi?
Mtu wa pili ni huyu mheshimiwa Arcado Ntagazwa nae vipi leo akiwa mwanasiasa mkongwe anafuata nini CHADEMA?
KANA KWAMBA HAITOSHI ...MARANDO HUYU HUYU NDIYE..... ANAYEWATETEA WATUHUMIWA WA EPA....! SEE THE OTHER SIDE OF CHADEMA NOW...! THEY FOOL THE FOOLS...!