Ndugu zangu ssaimekuwa tishio. Kwa wiki moja sasa shillingi ya Tanzania imeporomoka sana dhidi ya dollar ya Marekani. Serikali mko wapi mkiona hali hii ikiendelea hivi?. Wakati wa Professa Ndulu akiwa Gavana wa Benki Kuu hali haikuwa kama tunavyoiona sasa. Kwa kwelihali inazidi kuwa mbaya. Tutakukumbuka sana Prof. Ndulu.
Toka tumepewa gavana mwanasheria tutegemee uchumi kupaa kwa speed ya viwonder hewaNdugu zangu ssaimekuwa tishio. Kwa wiki moja sasa shillingi ya Tanzania imeporomoka sana dhidi ya dollar ya Marekani. Serikali mko wapi mkiona hali hii ikiendelea hivi?. Wakati wa Professa Ndulu akiwa Gavana wa Benki Kuu hali haikuwa kama tunavyoiona sasa. Kwa kwelihali inazidi kuwa mbaya. Tutakukumbuka sana Prof. Ndulu.
Hujui kimombo wewe, panya sio rate ni rat au mice. Karibu Namwela tujilie vijipanya vyetuJaribu kuelezea vizuri ili na sisi wa tunduru tuelewe mkuu. Wiki iliyopita rate ilikuwaje na sasa iko vipi.? Kwa sisi tunaotegemea bidhaa za china tutakoma na bei
Mkuu heading ilitakiwa iwe hiviNdugu zangu ssaimekuwa tishio. Kwa wiki moja sasa shillingi ya Tanzania imeporomoka sana dhidi ya dollar ya Marekani. Serikali mko wapi mkiona hali hii ikiendelea hivi?. Wakati wa Professa Ndulu akiwa Gavana wa Benki Kuu hali haikuwa kama tunavyoiona sasa. Kwa kwelihali inazidi kuwa mbaya. Tutakukumbuka sana Prof. Ndulu.
Hujui kimombo wewe, panya sio rate ni rat au mice. Karibu Namwela tujilie vijipanya vyetu