Dola 50000 zinaweza kuleta faida gani kwa maendeleo ya klabu zetu za tanzania ?

Tanzania1960

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
204
22
JAMAA ZANGU WATANZANIA JEE HIZO DOLA ELFU HAMSINI ZINAWEZA KULETA MAENDELEO GANI KWA TIMU ZETU ZA TANZANIA ?
Timu za tanzania zinatumia pesa nyingi kusajili wachezaji wa nje ambao baada ya miaka miwili au mitatu wanapotea kwenye ramani ya soka ,wanaondoka kwenda nje ua mpira unakufa ni baadhi tu za sababu kubwa timu kuwa omba omba kila msimu.
Mimi binafsi nafikiria tunaweza kuwapa ajira yosso wetu tukapata wachezaji wenye moyo na heshima kwa kuitumikia timu zetu na taifa letu kwa miaka mingi na kwa ufanisi mkubwa.
Mimi nawaomba wadhamini wakuu wa mpira nchini Tanzania iwape kipaubile wachezaji wazawa kwa kuwadhamini kwa hali na mali kwa sababu hao ndio taifa la kesho.Asante.
Naongeza kiongozi au viongozi watumie hela zao au za klabu kwa manufaa ya nchi kwanza.
:nerd:
 
Nchi ambayo haijaendelea kiuchumi haiwezi kujikita sana kwenye soka, kufanya hivyo kutakuwa ni utovu wa kipaumbele.
 
Back
Top Bottom