Dokumentari ya mchezaji Fiston Kalala Mayele PART 1

Dokumentari ya mchezaji Fiston Kalala Mayele PART 1

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
30,065
Reaction score
34,217
Dokumentari ya Fiston Mayele alivyopokewa kuwa mfalme wa uwanjani ktk nchi ngeni

View: https://m.youtube.com/watch?v=YIKlNoYxNDc

Ceci est un film biographique du joueur Fiston Kalala Mayele retraçant son parcours depuis ses débuts jusqu'à l'éclosion de son Talent au bout de deux saisons passées en Tanzanie sous les couleurs de Young Africans de la Tanzanie.
Hii ni filamu ya wasifu wa mchezaji Fiston Kalala Mayele akirejea safari yake kuanzia mwanzo Mbuyi Mayi, Kolwezi Lubumbashi hadi kuchanua kwa Kipaji chake katika nje ya mipaka ya DR Congo

Haji Sunday Manara atoa ushuhuda wa Fiston Kalala Mayele alipokuwa anaitumikia klabu kongwe ya mtaa wa Jangwani Dar Young Africans Yanga akitazama wachezaji wengi waliopita Yanga akiwafananisha na Fiston Mayele

Naye m- Burkinabé (Burkina Faso) Stephane Aziz Ki mchezaji wa Wydad Athletic Clube ya Morocco kwa sasa na aliyecheza Tanzania pia atoa ushuhuda kuhusu mchango wa Mayele

Kocha mkongomani wa kimataifa Jean-Florent Ikwange Ebengé azungumzia jinsi Fiston Kalala Mayele alivyo na nidhamu ya kiuchezaji ya mchezaji professional ...

Jean Baleke aliyechezea Simba SC na Yanga anaongeza kusimulia kipaji cha Fiston Kalala Mayele ..
Source : Fiston Mayele
 
Back
Top Bottom