Nashanga unaposema nijuavyo na kumbe hujui marijuana wacha kuwa prescribed mpaka chemists wanazo North America na ukienda na cheti unapewa.
Si afadhali tuongelee mgongo kuliko kulumbana na wewe ambaye hujui kuwa marijuana inatolewa pharmacy kwa ajili ya maumivu na kupunguza stress ?Halafu hawa wadada na migingo yao bwana, tunajadili mambo ya marijuana (mmea), tunaletewa marijuana binadamu (mgongo).
Kabla hatujaendelea i-minimize hii na ku-google medical marijuana mi nitakusubiri tuendelee kuongea.Naogopa kuweka mjadala kwa vigezo vya habari za kusikia. Kwa sababu nimeeleza namna ambavyo marijuana haiwezi kuwa miongoni mwa medical prescriptions. Sasa labda ungeniambia ina chemical gani ambayo ndiyo inayohitajika medically na inakuwa prescribed katika form gani (unga, majani kuvuta etc). Napotumia neno nafahamu ni uungwana wa taaluma kuwa unaweza kuusema sayari ziko tisa kumbe ni zaidi ya kumi. Kikubwa ni hoja za kisayansi katika mambo ya sayansi.
Si afadhali tuongelee mgongo kuliko kulumbana na wewe ambaye hujui kuwa marijuana inatolewa pharmacy kwa ajili ya maumivu na kupunguza stress ?
Navyojua hakuna prescription ya marijuana kwa medical condition haipo kwa kuwa marijuana haina sifa ya kupunguza/kuondoa maumivu (anaesthesia), pia siyo sedative (kitulizo cha hisia) cha kukubalika kwa kuwa yenyewe huleta kuweweseka (hallucination) na effect yake kwa mtumiaji huathiriwa na tabia ya mtu husika. Ndiyo maana kuna watu wakivuta bangi hupooza/hawawi active wakati wengine wakivuta ndiyo hupata mzuka wa kupiga watu. In summary, medically, bangi si depressant wala stimulant.
Medical cannabis (also referred to as medical marijuana) is the use of cannabis and its constituent cannabinoids such as THC as a physician-recommended form of medicine or herbal therapy. The Cannabis plant from which the cannabis drug is derived has a long history of medicinal use, with evidence dating back to 2,737BC.....
Although the extent of the medicinal value of cannabis has been disputed, and despite the opposition to research and use put forward by most national governments, it does have several well-documented beneficial effects.http://en.wikipedia.org/wiki/Medical_cannabis#cite_note-Aggarwal-May.E2.80.93June-2009-1http://en.wikipedia.org/wiki/Medical_cannabis#cite_note-cannabis-med1-2http://en.wikipedia.org/wiki/Medical_cannabis#cite_note-3http://en.wikipedia.org/wiki/Medical_cannabis#cite_note-medmjscience1-4Among these are: the amelioration of nausea and vomiting, stimulation of hunger in chemotherapy and AIDS patients, lowered intraocular eye pressure (shown to be effective for treating glaucoma), as well as gastrointestinal illness. Its effectiveness as an analgesic has been suggested (and disputed), as well.
kama unataka kusoma zaidi hii hapa website Medical cannabis - Wikipedia, the free encyclopedia
Pamoja na ugonjwa huu wa kushindwa kulala mpaka nimeona mgongo wa AD? Napita tu besti nimetoka kunywa bia 11 si unajuwa kesho sikukuu ? usiku mwema niote sawa.
CASE:
AD & Uporoto Vs 3D.
COURT DECISION:
3D found guilty of unnecessary argument.
3D's Response: Discussing with my lawyer.
Nakuaminia mtu wangu kumbe ulivyopotea ulienda kutafuta tofali la kumbondea huyu 3D mwaaaah! mi huwa nikilewa sipati usingizi haraka nakula ndizi,asali kidogo na maziwa zikipungua nalala fofofo.hahhahha lol
hii JF itatumaliza ndugu yangu..
mie masaa manne tu nalala
mmhh hii hatari..
pole na we kumbe unaugonjwa wangu wa kuto kulala hahahhahh lol
dawa ni ninii???
Nakuaminia mtu wangu kumbe ulivyopotea ulienda kutafuta tofali la kumbondea huyu 3D mwaaaah! mi huwa nikilewa sipati usingizi haraka nakula ndizi,asali kidogo na maziwa zikipungua nalala fofofo.
Nakuaminia mtu wangu kumbe ulivyopotea ulienda kutafuta tofali la kumbondea huyu 3D mwaaaah! mi huwa nikilewa sipati usingizi haraka nakula ndizi,asali kidogo na maziwa zikipungua nalala fofofo.
mmmhh 3D hakuna kesi wala nini
huu ndo uzuri wa JF..
we all learn something but not everything...
The Following 2 Users Say Thank You to 3D. For This Useful Post:CASE:
AD & Uporoto Vs 3D.
COURT DECISION:
3D found guilty of unnecessary argument.
3D's Response: Discussing with my lawyer.
We najua hutonifunga, zaidi utanipiga faini tu ila huyu nduguyo Uporoto01 anaonekana ana roho mbaya sana (joking)!!
Huwa nashangaa wanaotapika baada ya kunywa pombe,hapa nimekunywa bia 11,nusu kuku/chips, nimecheza pool na home nimekunywa glass ya maziwa/asali na ndizi mbivu.lol nikuelezana tu..
mmmhh kumbe uko chakara..
haya bwana sasa ukilewa halafu unywe maziwa mmmhhh si utatoa pombe zote?
au ni mimi tu.. hahahha lol
We najua hutonifunga, zaidi utanipiga faini tu ila huyu nduguyo Uporoto01 anaonekana ana roho mbaya sana (joking)!!
Huwa nashangaa wanaotapika baada ya kunywa pombe,hapa nimekunywa bia 11,nusu kuku/chips, nimecheza pool na home nimekunywa glass ya maziwa/asali na ndizi mbivu.
Hapana mkuu sina roho mbaya lol! labda haya maji ya 'urithi wetu'.
Nina mwili mzuri unaounguza chakula haraka (metabolism) vitu vyote hivyo siongezeki hata robo kilo.Nikinywa pombe kali si ntakonda kabisa ?mmmhh kwa kweli weye mtaalum
mie kwanza bia sinywi ina gesi sana
halafu siwezi kunywa maziwa ni kinywa pombe yeyote..
na siwezi kula kitu chenye mafuta sana..( labda kama nimekunywa wine haina neno)
mmmmhhh nusu kuku/ chips mmmhhh kwa kweli ukiendelea hivi hizo six pack zitapotea....
usiache kwenda gym baba ae au ule mchaka mchaka wa asubuhi hahahahah lol