Dogooo nooouuumaaa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
553669_347632231985746_343513516_n.jpg
 
Mods naomba mtoe hizi picha tafadhali, huu ni uzalilishaji mkubwa sana wa watoto nafikiri utani pia uwe na mipaka! Sijawahi kukereka humu kama nilivyokereka hapa!

Na uliye-post hizi picha jitafakari mara mbili kama angekuwa ni mtoto wako au wa ndugu yako kama bado ungepata nguvu za kuja kuwapost hao watoto humu!
 
Nani kapiga picha, mimi au wazazi wao? Nani mzalilishaji, mimi au wazazi wao walio post hewani? Nani mwenye kosa, Mpiga picha au mpigwa picha?
 
Mods naomba mtoe hizi picha tafadhali, huu ni uzalilishaji mkubwa sana wa watoto nafikiri utani pia uwe na mipaka! Sijawahi kukereka humu kama nilivyokereka hapa!

Na uliye-post hizi picha jitafakari mara mbili kama angekuwa ni mtoto wako au wa ndugu yako kama bado ungepata nguvu za kuja kuwapost hao watoto humu!

Mkuu mbona hakuna tatizo la kukupanikisha hivyo hapa?
 
Mkuu mbona hakuna tatizo la kukupanikisha hivyo hapa?
Haya bwana kama huoni tatizo hapo kwa upande wangu nimeona kama mtoto wangu vile anazalilishwa hivyo imeniuma lakini kama wewe unaona sawa mtoto kupigwa picha anakunywa pombe, well sina la kusema, yameisha, tuendelee kujenga Tanzania yetu!
 
QUOTE=Kijakazi;4543722]Mods naomba mtoe hizi picha tafadhali, huu ni uzalilishaji mkubwa sana wa watoto nafikiri utani pia uwe na mipaka! Sijawahi kukereka humu kama nilivyokereka hapa!

Na uliye-post hizi picha jitafakari mara mbili kama angekuwa ni mtoto wako au wa ndugu yako kama bado ungepata nguvu za kuja kuwapost hao watoto humu![/QUOTE]

Anadhalilishwa wapi? Tv zetu radio zetu muda wote zinatangaza matangazo ya pombe,tena kwa kuyasifia,leo hii huyo mtoto ukimwambia pombe mbaya atakuelewa?japo pic sio za Tz lakini na sisi miaka michache ijayo watoto wetu watazidi hapo,kwa sababu hata serikali inategemea kampuni za pombe kututimizia mahitaji yetu wananchi"

a
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom