Dogo wangu katika ubora wa kula!

hiyo ndio raha ya mtoto
msipende kuweka Lotion au mafuta mgando na mara ukimpa uji unamuwekea vitu kama hivyo
 
Hii picha itunze enzi za 2040 akiiona atacheka mno
 
hapo ni kumpeleka carwash unachukuwa pipe ya maji unamuosha
 
Mama mtu ukute alikopa hayo mafuta , afu katoka mihangaikoni anarudi anakuta hivo, nahisi kachoka akaamue akapige picha tu kupoza maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…