M madei lapia Member Joined May 22, 2013 Posts 5 Reaction score 0 Jun 3, 2013 #1 Dogo: Mama hivi malaika si wanapaa? Mama: Ndiyo wanapaa, Kwanini umeniuliza hivyo? Dogo: Nimemsikia baba jana anamuita dada (housegirl) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa? Mama: Ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, Shwain!!!!
Dogo: Mama hivi malaika si wanapaa? Mama: Ndiyo wanapaa, Kwanini umeniuliza hivyo? Dogo: Nimemsikia baba jana anamuita dada (housegirl) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa? Mama: Ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, Shwain!!!!
T Tinambuya JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 419 Reaction score 41 Jun 3, 2013 #2 Hahahahaha uwwiiiiii Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Youngcaner Senior Member Joined Apr 12, 2013 Posts 123 Reaction score 22 Jun 3, 2013 #3 Mama waukweli sana.