Hiyo course mkuu asisome anakuja kujuta. Nina jamaa zangu wako mtaani wanachoma mahindi tuJe?? Ni nzuri au magumashi
Mkuu kwani Jamaa ana Matokeo gani?Je?? Ni nzuri au magumashi
Apige tu ila ahakikishe anafaulu vizuri!!!Je?? Ni nzuri au magumashi
Ameskia inalipaHujajibu Swali langu LA Pili
Kwanini Anataka kusoma Petroleum Engineering?
Kurwa na Matokeo hayo ndo kutaka Kusoma Petroleum Engineering au Kuna Sababu nyingine?
Nini Kimemsukuma Kuchagua jiyo course?
Tuanzie hapo Kwanza!
Je?? Ni nzuri au magumashi[/QUOT asome computer engineering ili aje kujiajiri au kama atakuwa vzr makampun ya cmu yatamchukua Ni mtazamo Tu siitaji maswali mengi
Kabisa, hasa hasa civil engineeringOK For me the best course asomee kutokana na Masomo yake ni:
1.Civil Engineering
2.Chemical&Process engineering
3.Electrical engineering
Vp GeologyHiyo course mkuu asisome anakuja kujuta. Nina jamaa zangu wako mtaani wanachoma mahindi tu
mkuu umeuliza maswali ya msingi sana...kwanza tujue sababu ipi imemsukuma kusoma hiyo kozi? mimi ninacho amini hakuna kozi magumashi, magumashi yanaletwa na lengo la msomaji kuchukua hiyo kozi.Hujajibu Swali langu LA Pili
Kwanini Anataka kusoma Petroleum Engineering?
Kurwa na Matokeo hayo ndo kutaka Kusoma Petroleum Engineering au Kuna Sababu nyingine?
Nini Kimemsukuma Kuchagua jiyo course?
Tuanzie hapo Kwanza!
Hata hiyo haifai, akasome Civil ENG. Mkuu hatajutaVp Geology
see this link...Je?? Ni nzuri au magumashi
Ndio inalipa ila SIO KWA TANZANIA. kama hana refa ajiandae kisaikolojia akimaliza chuo.Ameskia inalipa
FactWaulize wenzako waliosoma hiyo kozi sahiv wanaganga njaa tu mtaani! Bora usiende chuo kabisa kuliko kusoma hiyo kozi maana hata field ni shida kupata sembuse kazi