Does real love even exist?

My heart bleeds [emoji30] [emoji31]
 
Mbona wengine hatujawahu kuiexperience?
Because hujakatana na yule ambae amepangwa ukutane nae. Trust me when huyo mtu atakapotokea, it will feel so different from uliowahi kuwa nao kwenye mahusiano.
 
Kwa nyie wanaume wa siku hizi ni ngumu kuwa na mapenzi ya kweli hamna shughuli kabisa,lazima mtu ukatafute shughuli kwingine
"Kwa nyie wanaume wa siku hizi" kitrika unajua what wrong with you?
Unatabia ya kujumuisha wanaume wote kuwa hawana true love wkt kweli wapo.

Inaweza kuwa ww kwenye life line yako, umekutana na wanaume dont care wengi, au wahuni ambao for perception yako hawana love. So ukaona wengine wako hivyo hivyo.

Nikwambie tu, wapo wanaume wanaopenda wanazama kabisaa. Wapo wapo wapo. Tofauti ni jinsi ya kurepresent hisia zao kwako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…