Nafasi kumi zipo kikatiba na yeye ni Rais kama alivyokuwa mtangulizi wake, hivyo ana mamlaka ya kufanya uteuzi ama utenguzi...Wacha ni switch kwenye lugha aliyopendelea kuitumia Hayati John Joseph.
Kama mjuavyo Magufuli alikwa amekwisha teua wabunge wake ambao aliona wanamfaa. Sasa nauliza je Samia naye anayo nafasi kama hiyo ya uteuzi wa nafasi kumi kikatiba kwa sasa? Au nimpaka hao waliokwisha kiteuliwa wapoteze nafasi zao?
Kwa wale hadhira nyingine
As you know, Magufuli had already elected his ten MPs for his term. now I ask if samia also has a similar position for the rest of the constitutional years?
Zingatia, awamu za urais na bunge ni zilezile. Kufa kwa rais hakulivunji bunge.Wacha ni switch kwenye lugha aliyopendelea kuitumia Hayati John Joseph.
Kama mjuavyo Magufuli alikwa amekwisha teua wabunge wake ambao aliona wanamfaa. Sasa nauliza je Samia naye anayo nafasi kama hiyo ya uteuzi wa nafasi kumi kikatiba kwa sasa? Au nimpaka hao waliokwisha kiteuliwa wapoteze nafasi zao?
Kwa wale hadhira nyingine
As you know, Magufuli had already elected his ten MPs for his term. now I ask if samia also has a similar position for the rest of the constitutional years?
Mkuu Samia Suluhu anamalizia awamu ya tano.Let me make this clear,hii ni awamu ya Magufuli.So kama Magufuli alishateua let's say Wabunge sita,yeye atateua wengine wanne.That's it.Wacha ni switch kwenye lugha aliyopendelea kuitumia Hayati John Joseph.
Kama mjuavyo Magufuli alikwa amekwisha teua wabunge wake ambao aliona wanamfaa. Sasa nauliza je Samia naye anayo nafasi kama hiyo ya uteuzi wa nafasi kumi kikatiba kwa sasa? Au nimpaka hao waliokwisha kiteuliwa wapoteze nafasi zao?
Kwa wale hadhira nyingine
As you know, Magufuli had already elected his ten MPs for his term. now I ask if samia also has a similar position for the rest of the constitutional years?
Sijui katiba inasemaje ila ingekuw vyema akapewa nafasi kumi. Au slzile za awali zife kifo cha asili ili kupisha teuzi zingine kama ilivyo kwa baraza la mawaziriMkuu Samoa Suluhu anamalizia awamu ya tank.Let me make this clear hii ni awamu ya Magufuli.So kama Magufuli alishateua let's say Wabunge sits,yeye atateua wengine wanne.That's it.
Kuna maeneo Rais anataka wawakilishi ambao ili waweze msaidia rais ni lazima wawe na sifa ya kuingia bungeni,na utaingia bungeni kukaa tu? Hapana ni lazima uchangie mijadala ya namna boss wako kakutuma na hapa ndipo lazima wabunge wakuteuliwa wanapatikana. ili wamsaidie Rais ktk mambo ambayo mtu wa kawaida asie mbunge hawezi yafanyaMaana ya mbunge ni mtu aliyechaguliwa kuwakilisha eneo fulani katika nchi, kwa nini tunakuwa na wabunge wanaoteuliwa?
Katiba mpya iondeo hili jambo.
Kuna maeneo Rais anataka wawakilishi ambao ili waweze msaidia rais ni lazima wawe na sifa ya kuingia bungeni,na utaingia bungeni kukaa tu? Hapana ni lazima uchangie mijadala ya namna boss wako kakutuma na hapa ndipo lazima wabunge wakuteuliwa wanapatikana. ili wamsaidie Rais ktk mambo ambayo mtu wa kawaida asie mbunge hawezi yafanya
Hawezi kuwatuma waseme kile yeye anataka kwasababu,wale wabunge wamechaguliwa na wananchi BOSS wao ni mwananchi na wala si Rais, wakati mbunge wakuteuliwa boss wake ni RAIS anafanya kile boss wake amemwagiza wakati wale wengine wanafanya kile maboss zao (wananchi) wamemwagiza.BS. Asilimia 90 ya wabunge wa ni chama kimoja,anakosa vipi wabunge wa kuwatuma waseme kile yeye anataka?
Kunapaswa kuwe na mbunge anaemuwakilisha Rais, haiwezekani Rais kuja kukaa bungeni ndio mana anapewa nafasi ya kuchagua wabunge 10,atao ona yeye akawaweke wapi,ndio mana wabunge wengi wakuteuliwa hupewa u waziri Katiba hairuhusu mtu asie bunge kuwa waziri,sasa Rais asipoona mtu anaefit nafasi ya u waziri wa sehemu flani ndio anakuchukua hata wewe bwana Yoda uwe mbunge halafu anakupa uwaziri.hakupaswi kuwa na mbunge anayemuwakilisha mtu mmoja bungeni.
Bonge la swali. Ngoja tupitie mijarabatiWacha ni switch kwenye lugha aliyopendelea kuitumia Hayati John Joseph.
Kama mjuavyo Magufuli alikwa amekwisha teua wabunge wake ambao aliona wanamfaa. Sasa nauliza je Samia naye anayo nafasi kama hiyo ya uteuzi wa nafasi kumi kikatiba kwa sasa? Au nimpaka hao waliokwisha kiteuliwa wapoteze nafasi zao?
Kwa wale hadhira nyingine
As you know, Magufuli had already elected his ten MPs for his term. now I ask if samia also has a similar position for the rest of the constitutional years?
Hawezi kuwatuma waseme kile yeye anataka kwasababu,wale wabunge wamechaguliwa na wananchi BOSS wao ni mwananchi na wala si Rais, wakati mbunge wakuteuliwa boss wake ni RAIS anafanya kile boss wake amemwagiza wakati wale wengine wanafanya kile maboss zao (wananchi) wamemwagiza.
Kunapaswa kuwe na mbunge anaemuwakilisha Rais, haiwezekani Rais kuja kukaa bungeni ndio mana anapewa nafasi ya kuchagua wabunge 10,atao ona yeye akawaweke wapi,ndio mana wabunge wengi wakuteuliwa hupewa u waziri Katiba hairuhusu mtu asie bunge kuwa waziri,sasa Rais asipoona mtu anaefit nafasi ya u waziri wa sehemu flani ndio anakuchukua hata wewe bwana Yoda uwe mbunge halafu anakupa uwaziri.
acha kukaza mishipa ya kichwa weweUnaelewa maana ya mbunge "member of parliament"?