HillaryKombe
Senior Member
- Mar 1, 2014
- 122
- 42
wazungu ndo wana hizo sana za ku move in together , ila kwasisi waafrika ukirogwa ukaingia kwa mwanaume eti kisa amekwambia uende ukaishi ujue hapo ndoa utaisikia tu au mtakuja kubariki mkiwa na kuzaa mmemaliza
Maisha hayana fomula, wapo wanaofanikiwa, wapo wanaoshindwa.
si kweli! Mimi ni mwafrika, kabla ya kumuoa mke wangu tuliishi pamoja for two years. Ni namna tu nyinyi wawili mnavyokubaiana na kupendana. Usigeneralize kwa waafrika wote.
Sredi yetu imeenda wapi?
Its not automatic.
But why settle for a sinful life that displeases God while you could get into marriage and start a good life just as God intended?
wA KWANZA MIE SINA ACCESS.Wameipeleka jukwaa la dini, sijapenda kabisa. Kule watu hawaendi afu wengine hawana hata access.
ts called cohabitation...View attachment 146035
Nowadays a lot of couples are moving in together before marriage. It's called ''Come We Stay''. Some people say that it is best way to know if you are compatible. That it is like test driving a car. You will know if you can stay together as a married couple. But other says most of this arrangement don't lead to marriage because you are already getting what you can get in marriage without married. Does come we stay lead to marriage?