1. Kwanini unakipenda chama chako cha siasa ulichopo?
2. Unaridhika na maendeleo tuliyoyapata kwa miaka 51 ya Uhuru? Toa sababu
3. Nini kifanyike ili tusonge mbele kama nchi?
4. Unauonaje Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015?
5. Nini mchango wako katika kusonga kwetu mbele kama Taifa?