Achana na Wikipedia kijana...
Dar, mwanza, Arusha,Mbeya,Tanga, Morogoro, Dodoma, Moshi nk. .....tuulize sisi tunaoifahamu iyo miji vizuri Wikipedia kitu gani

Si ajabu hata hapo Namanga tu hujawahi kufika ila kwa kuwa unajificha nyuma ya keyboard basi unajiona kila kitu unajua. Na unaweza kulinganisha chochote kinachokujia kichwani mwako
Hiyo mijengo ya UDOM unayojaza hapa ipo tu kama flat za nchi za kikomunist hazina chochote cha kuvutia architecturally.
Unajua mda mwingne mnakera sana nyie ...picha zote izo ni udom?
Mkishindwa mnalazimisha ushindi ....ushindi sio kirahisi apa....thika ni another joke utamdanganya nani picha zimesadifu?picha hazidanganyi....ndio dodoma sio jiji ni municipal!! Lakini mziki wake umeuona