Dodoma soon itatangaza tender ya ujenzi wa barabara yake ya Pete (ring road) yenye urefu wa 110km dual carriage way...
Sambamba na hilo pia serikali imeshapata mkopo kutoka bank ya maendeleo ya Africa kujenga msalato international airport mradi utakao gharimu zaidi ya $200M
Tukiachilia ujenzi wa 39km ndani ya mji wa serikal ambao nao utajengwa kwa kiwango cha lami...nasubiri kusikia project kubwa hapo kijijini thika
Sent using
Jamii Forums mobile app