nimepita huko wiki iliyopita,hatari sana.Ule mtaa wa Dodoma ulioko njia ya kwenda Udom ambao una majengo ya Hazina, benki kuu, Dodoma conventional center n.k utakuja kuwa babkubwa. Maendeleo yake ni ya kasi sana na hivi uncle Magu anawekeza Dom basi ndani ya miaka kadhaa mbele ndio utakua sura ya Dodoma.
Tanzania itamkumbuka Magufuli kwa kuijenga Dodoma kutoka kuwa mji wa kawaida mpaka jiji kubwa Tanzania. Na hili analifanya kwa vitendo zaidi kuliko maneno. Dodoma saizi kuna projects nyingi sana zinaendelea.
Natabiri baada ya miaka 5 kama Magufuli atakua Rais basi Dodoma itakua mbali Sana in terms of infrastructures.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwache mambo ya kuchambana mpishane Kwa hoja.next time Kiambu nyumba ina-collapse au watu wanakufa njaa usilalamike humu ndani ukichambwa!
umekiri umekosea na ni kweli dodoma ni mji wa kumi kwa ukubwa tanzaniaPovu linaruhusiwa ....
dodoma ni mji wa 8 kwa ukubwa Tanzania. ...kama sijakosea
Hahaha dear Susan, ahsante kukiri Thika ni kijiji kikubwa cha kulinganishwa na mwanza ilhali Dodoma ni kijiji kidogo ambacho kinafaa kulinganishwa na marsabit. Vyote ni jangwa.DODOMA mwaka 2020 itafikiwa na electrified sgr pamoja na ujenzi mkubwa wa icd, kijiji kikibwa cha thika kuna nn kinaendelea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulisoma somo me kiswahili basi sina shaka ulikua kilaza sana, DODOMA utaiskia vizuri mda sio mrefu,thika bado ni shambani tuHahaha dear Susan, ahsante kukiri Thika ni kijiji kikubwa cha kulinganishwa na mwanza ilhali Dodoma ni kijiji kidogo ambacho kinafaa kulinganishwa na marsabit. Vyote ni jangwa.
Hilo somo huwezi nishinda maana ulikuwa kilaza zaidi yangu.Kama ulisoma somo me kiswahili basi sina shaka ulikua kilaza sana, DODOMA utaiskia vizuri mda sio mrefu,thika bado ni shambani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kulinganisha Thika tafadhali na mefi ya kukuDODOMA mwaka 2020 itafikiwa na electrified sgr pamoja na ujenzi mkubwa wa icd, kijiji kikibwa cha thika kuna nn kinaendelea?
Sent using Jamii Forums mobile app
'UTA"......hiyo tumezoea.We have heard of Dodoma being the capital city from ever since and remains a backwaters place so acha kutupigia kelele za chura ewe mkongoleeKama ulisoma somo me kiswahili basi sina shaka ulikua kilaza sana, DODOMA utaiskia vizuri mda sio mrefu,thika bado ni shambani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
'UTA"......hiyo tumezoea.We have heard of Dodoma being the capital city from ever since and remains a backwaters place so acha kutupigia kelele za chura ewe mkongolee
Thika kuna nn so far tangu mpate uhuru haha jipe shughuliAcha kulinganisha Thika tafadhali na mefi ya kuku
I thought hii thread ilimaliza huo ubishi kitambo bwana.Get some life.....Dodoma hata kwa Kapsabet is a babyThika kuna nn so far tangu mpate uhuru haha jipe shughuli
Just like I heard of Dodoma here.Initially I thought it's a scientific name of people who eat Albinos.Bro jipe kazi ufanye,kapsabet ndio naisikia hapa Inawezekana kabisa Ni jina la mtaani kwenu ila haisumbui kitu
Thika superhighway. Hata Dar haina such.Thika kuna nn so far tangu mpate uhuru haha jipe shughuli