KERO Dodoma Mjini hakuna maji ya uhakika, yanatoka kwa saa nne tu

KERO Dodoma Mjini hakuna maji ya uhakika, yanatoka kwa saa nne tu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hii ni kero kubwa sana , mwezi wa pili sasa Dodoma tunaishi bila ya maji.

Makao makuu ya Chama na Serikali inakuwaje maji yanasumbua kiasi hiki.

Yanatoka kuanzia saa 7 asubuhi saa tano tu yamekatika. DUWASA hili mliangalie.
 
Miaka 60 Bado tunalia na maji,wale wakule dar wanalia na mwendokasi 😀😀 ,,bac ni Kila mtu analia na lake na wanaotakiwa kusikia kilio Chao WAMEZIBA MASIKIO🤔
 
Back
Top Bottom