Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,793
- 8,734
Napenda kutoa Rai kwa manispaa ya Dodoma inayohusika na mabango mabarabarani wahitahidi kuyarekebisha mapema na haraka iwezekanavyo kabla hayajaleta madhara kwa watumiaji wa barabara HALAFU waje waseme "Bwana ametoa na Bwana ametwaa"
Kila bango limeliwa chuma zote zimelala mpaka unaogopa kupita chini yake, MAMLAKA husika Liangalieni hili tunawaomba sana. Yako karibu kila mahali haya mabango yaliyoharibika.
Kila bango limeliwa chuma zote zimelala mpaka unaogopa kupita chini yake, MAMLAKA husika Liangalieni hili tunawaomba sana. Yako karibu kila mahali haya mabango yaliyoharibika.