Dodoma-mafisadi kuanza kuhonga mapema wapinzani njaa

Dodoma-mafisadi kuanza kuhonga mapema wapinzani njaa

silaha

Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
60
Reaction score
34
habari nilizonazo kama tetesi asubuhi ya leo kuwa kundi la mgombea urais mmoja wa ccm limeanza kuwasogolea wanasiasa wa vyama vya upinzania wenye njaa kali ambao kwao hii ni opportunity never come twice ya kujitengenezea maisha yao baada ya bunge hili ( kumbuka wengi wa wanasiasa hawa wa vyama visivyo hata na ofisi za makao makuu kazi hawana zaidi ya kusubiria zile semina za kwa ofisi ya msajili wagange njaa)

taarifa zinasema kuwa jamaa wamedhamiria kuhakikisha upinzani unampitisha mwenyekiti wao kwani wanaona hatari ya mwenyekiti huyo kutokupita kwa sababu ya mgawanyiko wa hali ya juu ndani ya CCM kwa sasa.

wanaamini ni wapinzani pekee wanaoweza kusaidia mgombea huyo kutoka bariadi kushinda nafasi hiyo endapo kura za CCM zitakwenda upande wa pili kwa mgombea toka tabora urambo.

mpaka jana jioni viongozi wa vyama vya UPDP,CCK,NLD,SAU,JAHAZI ASILIA,NA DP NI BAADHI YA WAPINZANI WALIOTEMBEZEWA BAHASHA YA SHILINGI 1,500,000/= NA jamaa hao.

bado nafatilia habari hizi kwa ukaribu.wakinifata na mimi naweka na ushahidi
 
''bado nafatilia habari hizi kwa ukaribu.wakinifata na mimi naweka na ushahidi''?!
 
habari nilizonazo kama tetesi asubuhi ya leo kuwa kundi la mgombea urais mmoja wa ccm limeanza kuwasogolea wanasiasa wa vyama vya upinzania wenye njaa kali ambao kwao hii ni opportunity never come twice ya kujitengenezea maisha yao baada ya bunge hili ( kumbuka wengi wa wanasiasa hawa wa vyama visivyo hata na ofisi za makao makuu kazi hawana zaidi ya kusubiria zile semina za kwa ofisi ya msajili wagange njaa)taarifa zinasema kuwa jamaa wamedhamiria kuhakikisha upinzani unampitisha mwenyekiti wao kwani wanaona hatari ya mwenyekiti huyo kutokupita kwa sababu ya mgawanyiko wa hali ya juu ndani ya CCM kwa sasa.wanaamini ni wapinzani pekee wanaoweza kusaidia mgombea huyo kutoka bariadi kushinda nafasi hiyo endapo kura za CCM zitakwenda upande wa pili kwa mgombea toka tabora urambo.mpaka jana jioni viongozi wa vyama vya UPDP,CCK,NLD,SAU,JAHAZI ASILIA,NA DP NI BAADHI YA WAPINZANI WALIOTEMBEZEWA BAHASHA YA SHILINGI 1,500,000/= NA jamaa hao.bado nafatilia habari hizi kwa ukaribu.wakinifata na mimi naweka na ushahidi
kwa sababu wewe unasema hupo huko ebu naomba unijibu hili swali langu- Je kuna Faida gani iwapo CHENGE atapita katika nafasi ya Uenyekiti kwa hili kundi katika huu mchakato wa KATIBA?- Je kuna Hasara gani iwapo CHENGE hatapita katika nafasi hii ya uenyekiti kwa hili kundi katika mchakato huu wa KATIBA?Nauliza maswali haya kwani nashangaa hizi gharama za kuhonga zitafidiwa na nini katika hili.
 
Back
Top Bottom