VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Ni bora Shein kutohudhuria ili mambo yaende sawa,mbali na hapo tutarajie patashika ndani ya bunge
ni bora shein kutohudhuria ili mambo yaende sawa,mbali na hapo tutarajie patashika ndani ya bunge
Ni bora Shein kutohudhuria ili mambo yaende sawa,mbali na hapo tutarajie patashika ndani ya bunge
Ni bora Shein kutohudhuria ili mambo yaende sawa,mbali na hapo tutarajie patashika ndani
Bunge linaongozwa na sheria,ukawa tusiwe malo.. na wapu...,tumedanganya mara ngapi?Mara ICJ,mara hataapishwa?lipi limetokea?Shein ataingia na mambo yataenda tuuu...,tusijifariji kwa mambo ya kipu....
nipo na wewe mkuu. Tz-ni miongoni mwa nchi chache sana ambazo walioko madarakani wanawatambua wapinzani ni Kama maadui. Kumbe siyo maana yake, wapinzani ni wajibu wao kukosoa, na kupinga pale haki au sheria inapokiukwa.
Wapinzani wamejipambanua kama wao ni maadui wa serikali...CCM walijitahidi katika kipindi kilichopita kuwakaribisha kundini kwa moyo mkunjufu... Raisi Kikwete....alitoa nafasi za ubunge kwa wanachama wa vyama vya upinzani....lakini angalia lugha na vijitabia vya hao watu waliopewa fursa hizo...wanaongoza kwa lugha za kejeli..... wapinzani walipewa hadi uongozi kwenye kamati za bunge... wapinzani walipewa nafasi ya kurekebisha Katiba iliyopo..... TUMEJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA SASA TUNATAMBUA NIA NA LENGO ZA WAPINZANI KUWA NI MAADUI NA SISI TUNASEMA .....THIS TIME NI VITA NI VITA!!!
Jambo la msingi kabisa ni wabunge wote kujiuliza, nini faida na hasara ya ama zomeazomea au kutozomea hotuba ya rais. Wananchi wanataka kusikia zomeazomea au hotuba ya rais?
umesema vizuri sana ndugu, kitendo cha shein kuingia ndani kitaharibu kila kitu na ndio utakuwa mwanzo wa vurugu kubwa kitu kitakachosababisha AIBU kwa Taifa