Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Aug 13, 2013 #1 habari ndugu zangu, naelekea kwa watani [wagogo] ila naomba nijue kabisa, kuna JF dodoma wing? kama ipo, ndio napiga hodi ila nikikuta ni wagogo watupu, ntamtuma hausigeli aniwakilishe.. napiga tena hodi, Hodi wagogo
habari ndugu zangu, naelekea kwa watani [wagogo] ila naomba nijue kabisa, kuna JF dodoma wing? kama ipo, ndio napiga hodi ila nikikuta ni wagogo watupu, ntamtuma hausigeli aniwakilishe.. napiga tena hodi, Hodi wagogo