Nakuunga mkono, miongoni mwa mikoa masikini tanzania dodoma upo, nenda kondoa unaweza lia, nenda bahi nk. Ndo maana lusinde alipita kirahis mno. Kiufupi elimu ni shida.
Wameanza kuamka.
Leo wanakijiji wa Mahoma Makulu wamemng'oa Mwenyekiti wao kwa kufisidi 4Mil za mradi wa josho, na kuuza shamba la kijiji kwa Mwekezaji