VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Alieibua richmond ni ccm au upinzani?????Kuanzia sakata la Richmond ...ni wabunge wa CCM ndio waliokuwa mstari wa mbele kuikosoa serikali.
Sijui kiherehere cha wapinzani kinatokea wapi?
Nitajie huyo mpinzani!!Alieibua richmond ni ccm au upinzani?????
Kuanzia sakata la Richmond ...ni wabunge wa CCM ndio waliokuwa mstari wa mbele kuikosoa serikali.
Sijui kiherehere cha wapinzani kinatokea wapi?
Kuna kashfa yoyote iliyoibuliwa bungeni na kufanikiwa kuwaangusha vigogo wa serikali ambayo haikuongozwa na wabunge wa CCM?Mbunge gani wa CCM ameongelea mgao wa 10M? Mbunge gani wa CCM ameshawahi kuongelea ununuzi wa boat ya Bagamoyo? Mjadala wa Lugumi umeishia wapi? Mmetupatia Katiba mpya wabunge wa CCM?
Great thinkers asked this similar question when Major opposition party, Chadema under the chairmanship of Mbowe welcomed and cherish the accused father of grand corrupter...Evidence
Kuanzia sakata la Richmond ...ni wabunge wa CCM ndio waliokuwa mstari wa mbele kuikosoa serikali.
Sijui kiherehere cha wapinzani kinatokea wapi?
hiyo dose si ya mchezo hasa katika usawa huu ambao posho zimebinywadawa nyingine waliyotumia ni kugawa Tsh milioni kumi
Kuanzia sakata la Richmond ...ni wabunge wa CCM ndio waliokuwa mstari wa mbele kuikosoa serikali.
Sijui kiherehere cha wapinzani kinatokea wapi?
Tofautisha upinzani na saccoss mkuu!So, hutaki upinzani..? mbona mm CCM na nawasikiliza..? kwnn CCM wenzangu hampendi challenge au kujifunza KUSIKIA MSIYOYAPENDA..? Mnataka kuwa single minded tu, why..? Kwani hujui dunia ya leo wapinzani wako kihalali na ni dunia nzima ktk nchi za democrasia..!!
We CCM, lazima tujifunze kusikia tusiyoyapenda na kuyatafakari, sio yote ni ya uongo toka upinzani, na nikiri, wapinzani wana hoja nzuri sana tu kushinda wabunge wengi mno wa CCM.. hili liko wazi kabisa.
Kuna kashfa yoyote iliyoibuliwa bungeni na kufanikiwa kuwaangusha vigogo wa serikali ambayo haikuongozwa na wabunge wa CCM?