Dodoma CCM ni yatima kwa sasa

Dodoma CCM ni yatima kwa sasa

magu cdm

Member
Joined
Mar 18, 2015
Posts
60
Reaction score
15
Licha ya mambo yote ya uchukuaji fomu na vikao vya bunge kuwa hapa ila wananchi wengi hawana habari na mambo ya CCM.

Bila chembe ya uoga juzi walijitokeza kwa maelfu kwenye mkutano wa CHADEMA ulioongozwa na kamanda Lissu. Lissu aliwataka wananchi wa Dodoma kujitoleza kwa wingi kwenda kujiandikisha jambo ambalo leo limefanikiwa sana vituo vyote vya kuandikishia vilikuwa na watu wengi sana utadhani mkutano wa hadhara.

Wananchi waliwaacha na kuwapuza CCM na maigizo yao ya uchukuaji fomu, salaam ya wanadodoma ilibadilika na kuwa unacho ninacho hapo sawa huna nenda kafate vijana wamejitokeza kwa wingi sana siku ya leo ambapo ndiyo uandikishaji umeanza.

Hongera kamanda Kigaila kwa kazi unaifanya Dodoma.Mungu akutangulie katika safari ya kufuta CCM Dodoma.
 
hapo lissu akitoa elimu siku moja kabla ya uandikishwaji kuanza
 

Attachments

  • 1433457913795.jpg
    1433457913795.jpg
    59 KB · Views: 594
  • 1433457931712.jpg
    1433457931712.jpg
    46.7 KB · Views: 550
  • 1433457968881.jpg
    1433457968881.jpg
    28.1 KB · Views: 504
Hao wanataka tu vitambulisho vya dhamana na si kupigia kura ccm ni imara tu wanaoyumba ni watu si chama
 
ccm wamepanic..........NA TUTAWASHUGHULIKIA MWAKA HUU HATUTAKI UTANI KABISAA....
 
Back
Top Bottom