H hhsmakwato Member Joined Mar 19, 2015 Posts 97 Reaction score 51 Aug 31, 2015 #21 bwakila said: Sumaye, Lowasa na ccm wenzao wametufikisha hapa tulipo leo. Wakiwa viongozi wakubwa kabisa Leo wanatulaghai tunawashangilia. Nani aliyeturoga watanzania? Mungu tusaidie Click to expand... Wew ndo umerogwa . Hivi bado uko kwenye zama za jiwe au.?
bwakila said: Sumaye, Lowasa na ccm wenzao wametufikisha hapa tulipo leo. Wakiwa viongozi wakubwa kabisa Leo wanatulaghai tunawashangilia. Nani aliyeturoga watanzania? Mungu tusaidie Click to expand... Wew ndo umerogwa . Hivi bado uko kwenye zama za jiwe au.?