hata leo iringa amewapa ccm maneno yao safi xana
Binafsi nililidhishwa na utetezi alioutoa Mh. Sumaye dhidi ya tuhuma zinazoelekezwa kwa nd. Lowassa, ndio maana umati wote uliokuwepo pale Jangwani ulilipuka kwa vifijo, kila mtu ameelewa kuwa ufisadi uko ndani ya CCM bado na Lowassa ni mhanga tu wa ufisadi huo wa CCM, over!!
Ifike wakati muwe mnatumia akili kufikiri. Kipya kipi alichokisema Sumaye ambacho Kubenea hajaandika huko nyuma. Haongei jipya huyo, yaani atawaambia kuku ana miguu miwili na mtakuja kushangilia kuwa amegundua kitu kilichowazi.
hata leo iringa amewapa ccm maneno yao safi xana
sasa hivi, nikuwapigilia misumali tu ad october 25...
jamani naombeni msaada kwa yeyote mwenye website iliyobeba hotuba ya jana kwenye uzinduzi wa ukawa anijuze maana nataka nianze kuisoma. maana jana muheshimiwa lowasa aliamlisha hivyo
hata leo iringa amewapa ccm maneno yao safi xana