bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,734
- 10,345
Owk kwahiyo unataka kuniambia kabla hivyo vitu havijagunduliwa wagonjwa walikua hawaponi au? Alafu madaktari wana apply Biology, Physics na Chemistry kwenye kutoa huduma kumbuka hilo??Vyote vya muhimu., je hujui kuwa through hizo interventions Uhai na Afya can be monitored? Mgonjwa analazwa wodini, mgonjwa atahitaji vipimo kujua kama kuna internal bleeding or any ugonjwa ndani (MR-I, CT-Scan, X-ray), Mgonjwa atahitaji kuchomwa sindano and lots of things. Unafikiri hivyo vyote vimeletwa na BS?? We do respects u docs, but making yourself special over others sio kabisa. Just tunategemeana with engineering being ahead of you a bit.
Alafu hujajibu swali langu, Utawezaje kufanya hizo invention kama haupo njema intermas of Health? Ni jibu