Doctor wa macho yupi ni mzuri kwa Dar?

Going Concern

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
1,071
1,212
Kuna ndugu yangu anaumwa macho, yanatoa machozi tu...katumia Dawa zote lakini Bado tatizo liko pale pale...

Naulizia daktari yupi wa macho ni mzuri kwa Dar na anapatikana hospitali gani na nitashukuru zaidi nikipata mida yake ya kazi.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom