Doctor Shika yuko wapi?

Doctor Shika yuko wapi?

figh

Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
17
Reaction score
4
Nauliza mzee wa mia 900 itapendeza yuko wapi au kashapewa pesa zako karudi Urusi maana kuna mjengo unauzwa. Kama kuna mtu anajua alipo amshtue maana huku kwa 900 itapeza ni hayo tu tujuzane.
 
Nauliza Mzee wa mia 900 itapendeza yuko wapi au kashapewa Pesa zako karudi urus maana kuna mjengo unauzwa ..... Kama kuna mtu anajua alipo amshtue maana huku kwa 900 itapeza........ni hayo tu tujuzane....
Waulize Lumumba walimtumia kwenye kampeni
 
Nauliza Mzee wa mia 900 itapendeza yuko wapi au kashapewa Pesa zako karudi urus maana kuna mjengo unauzwa ..... Kama kuna mtu anajua alipo amshtue maana huku kwa 900 itapeza........ni hayo tu tujuzane....
Alipoanza kujiingiza kwenye kampeni za chama cha mboga mboga hapo ndipo alipopotezwa. We si unaona hata wasanii wengi waliojiingiza huko walikoishia?
 
Kweli we ni zwazwa kampeni alifanya alipwe hela hata ya chadema angefanya.....kwahiyo unataka kunambia hata Diamond kapotea coz na yeye alifanya kampeni
 
Nauliza Mzee wa mia 900 itapendeza yuko wapi au kashapewa Pesa zako karudi urus maana kuna mjengo unauzwa ..... Kama kuna mtu anajua alipo amshtue maana huku kwa 900 itapeza........ni hayo tu tujuzane....
Nilimuona leo mitaa ya Bungoni anatembea kwa miguu anaelekea Kariakoo. Ila siku hizo ameng'aa sana kweli pesa sabuni ya roho.
 
Kweli we ni zwazwa kampeni alifanya alipwe hela hata ya chadema angefanya.....kwahiyo unataka kunambia hata Diamond kapotea coz na yeye alifanya kampeni
Huoni na kusikia yanayomkuta? Huko ndio kupotea!
 
Nadhani kuna mambo mengi kumhusu huyu dokta ila hatuyafahamu
 
Back
Top Bottom